TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Tshimanga Assosa

The Typologically Different Question Answering Dataset

Assossa alizaliwa katika mji wa Kamina uliopo Jimbo la Shaba huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo mnamo tarege 4 Aprili, 1949. Alipata elimu ya Sekondari katika Shule iliyojulikana kama Charles Ruangwa hapo Kamina. Assosa alianza kuimba akiwa bado mdogo na kwamba aliyejipeleka mwenyewe katika kwaya ya Kanisa la Mtakatifu Baram huko Kamina ambako Mapadri walimsaidia kumfundisha muziki. Pamoja na juhudi zake hizo, Baba yake mzazi kamwe hakutaka mwanaye  ajitumbukize katika muziki na kumtaka afuate masomo yake shuleni.

Tshimanga Kalala Assosa alizaliwa wapi?

  • Ground Truth Answers: KaminaKaminaJamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • Prediction: